Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Top Stories

Milioni 15 alizokabidhiwa Paul Makonda na CRDB BANK

on

Wafanyakazi na wateja wa Benki ya CRDB Dar es Salaam kupitia kwa Mkurugenzi Mtendaji Dr. Charles Kimei leo wamekabidhi msaada wa shilingi milioni 15 kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ili kusaidia ujenzi wa ofisi za Walimu kwa shule za msingi na Sekondari za Dar es salaam.

Dr. Kimei alisema msaada huo unatokana na michango ya Wafanyakazi na wateja wa Benki ambao wamehamasika katika kuisaidia serikali kutatua changamoto ya upungufu wa ofisi za walimu Dar es salaam.

“Hii ni sehemu tu ya michango inayoendelea kukusanywa na Wafanyakazi wa benki ya CRDB kupitia matawi yake yote 252, fedha zinazokabidhiwa leo ni za kutoka Makao Makuu na tawi moja la Azikiwe jijini Dar es Salaam” alisema Dokta

Soma na hizi

Tupia Comments