Top Stories

Wabunge wakubali kukatwa posho zao, Spika aeleza

on

Spika wa Bunge Job Ndugai amesema kuwa Wabunge wameridhia kukatwa posho ya siku moja katika msimu huu wa vikao vya bunge la bajeti vinavyoendelea kwa lengo la kuchangia ujenzi wa vyoo vya mfano katika kila jimbo nchini ambavyo vitajengwa kwa ajili ya kuwasaidia wanafunzi wa kike na wale wenye ulemavu.

VIDEO: Mbunge Kubenea kuhusu wanaume wenye wake Wengi, Unaweza kubenyeza play hapa chini kutazama

Soma na hizi

Tupia Comments