Top Stories

Polisi ilivyowakamata Waarabu wakisafirisha MAMILIONI Airport DSM

on

Raia wa Kigeni wenyeji wa Syria na Sudan Kusini, wamekamatwa katika Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) DSM, wakisafirisha fedha taslimu dola 70,000 za Kimarekani sawa na Milioni 156 za Kitanzania na paundi 3410 za Sudan bila kufuata taratibu.

“Watuhumiwa wote wawili wamezuiwa na hawawezi kuendelea na safari zao kwa ajili ya uchunguzi zaidi na hatua za kisheria zilizopo,”Amesema Afande Mwakalukwa wakati akizungumza na waandishi wa habari.

LIVE MAGAZETI: Kimenuka mabasi ya mwendokasi, Msijamiiane na Wanaume wasiotahiriwa

Soma na hizi

Tupia Comments