Top Stories

Rais Magufuli amefanya uteuzi wa Mwenyekiti leo June 11

on

Taarifa kutoka Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu inasema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Fidelis Mutakyamirwa kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Ushauri wa Ardhi.

Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi imeeleza kuwa uteuzi wa Mutakyamirwa umeanza leo June 11, 2018.

Maagizo aliyotoa Naibu Waziri Kilimo Dr. Mwanjelwa katika ziara Njombe

 

Soma na hizi

Tupia Comments