Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Afande Sele kaipokea vipi Professor Jay kuimba style ya singeli?

on

Baada ya kutoka kivingine na kuamua kuachia hit single yenye mahadhi ya singeli, kitu ambacho hatujazoea kumuona akifanya mbunge wa mikumi Joseph Haule a.k.a Professor Jay.

Millardayo.com iliyapata maoni ya Afande sele juu ya style hiyo mpya ambayo Prof Jay ameamua kuja nayo akiwa kama mkongwe wa Hip Hop>>Mikumi utamaduni wake ni utamaduni wa pwani kwa asilimia kumi kwahiyo ile aina ya mziki wa singeli mikumi unasikilizwa sana na nadhani wapiga kura wengi wa Jay’

‘Ndio wa namna ile kwa maana ya vijana,kina mama wanampa kura sana wale ndo wanaweza kupenda vitu kama vile kwa maana ya sherehe, singeli, labda tuwe wakweli kwamba jamii yetu haijashtuka haijaelimika sana kujua mahitaji yao ni nini kutoka kwa kiongozi’

KAMA ULIMISS ALICHOKIONGEA YUSUPH MLELA KUHUSU BIFU YAKE NA HEMED PHD ILIPOISHIA>>>

Tupia Comments

Advertisement