Tangaza Hapa Ad

VIDEO: Vodacom Tanzania ilivyowakamatisha mpunga wake wiki hii


Promosheni ya kamata mpunga kutoka Vodacom Tanzania  bado inaendelea ku-make headline, kwa kuweza kufanya wateja wake kuweza kukamatia mpunga na kujishindia pesa taslimu kuanzia laki 5 mpaka milioni 20  kwa kuandika neno GO kwenda 15544.

September 26 2016 ilifanyika droo nyingine ya kuwatafuta watu walioshinda promosheni hiyo ya kamata mpunga ambapo waliweza kujishindia fedha taslimu mil 1 kila mmoja, ila bado haujachelewa na wewe mtu wangu kukamatia mpunga, andika neno GO kwenda 15544 uwe mmoja wa washindi.

Unaweza kuangalia video hii hapa chini

ULIIKOSA HII YA VODACOM KUZIKABIDHI MIL 20 KWA WASHINDI WA PROMOSHENI YA KAMATA MPUNGA? UNAWEZA KUIANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments

On AIRSIKILIZA

Usipitwe na hizi

Advertisement