DSTV

Tangaza Hapa Ad

Michezo

VIDEO: Tazama magoli matatu yaliotajwa kuwania Puskas Award 2017

on

Jioni ya October 10 2017 yametajwa magoli matatu yatakayowania tuzo ya goli bora la dunia FIFA Puskas Award 2017, moja kati ya magoli yaliotajwa ni pamoja na goli la golikipa wa timu anayoichezea mtanzania Abdi Banda timu ya Baroka FC ya Afrika Kusini.

Goli la golikipa wa Baroka FC Masuluke alilolifunga katika mchezo dhidi ya Orlando Pirates limetajwa kuingia kwenye TOP 3 ya magoli yatakayotuzo ya Puskas pamoja na goli la staa wa Arsenal Oliver Giroud alilofunga dhidi ya Crystal Palace na goli la Deyna Castellanos dhidi ya Cameroon.

Goli la Masuluke dhidi ya Orlando Pirates

Goli la Oliver Giroud dhidi ya Crystal Palace

Goli la Deyna Castellanos dhidi ya Cameroon

ALL GOALS: Taifa Stars vs Malawi October 7 2017, Full Time 1-1

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement