Tangaza Hapa Ad

Videos

VideoMPYA: Shilole anatukaribisha kuitazama hii video yake mpya

on

Ni October 5, 2016 ambapo Shilole anaziandika headlines kwenye Bongo Fleva kwa kuachia video mpya ya  single iitwayo Mtoto mdogo aliyomshirikisha mkali wa nyimbo za Singeli maarufu kama Man Fongo. imetayarishwa na director Khalfani.

ULIKOSA SABABU ZA WASTARA KURUDIANA NA MPENZI WAKE WA ZAMANI BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement