Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

AudioMPYA: Baraka The Prince na Alikiba wametuletea hii single mpya…

on

Ni Single mpya iitwayo Nisamehe ambayo ilirekodiwa April 27, 2016 katika kwa producer Emma The Boy  na wakali kutoka kwenye lebel ya Rockstar 4000 Baraka The Prince na Alikiba ambapo leo ndio wameitambulisha rasmi katika vituo mbalimbali vya radio.

Unaweza kuisikiliza kwa kubonyeza HAPA  na ukishaisikiliza sio mbaya ukituachia na comment yako wakali hawa watapita hapa kujua Watanzania wameipokeaje.

ULIIKOSA HAYA MANENO YA BARAKA THE PRINCE KUHUSU WALIOSEMA AMESHINDWA KUONGEA KIINGEREZA KWENYE MAHOJIANO AFRIKA KUSINI? PLAY HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement