Tangaza Hapa Ad

VIDEO: Swali la Nikki wa II ndani ya basi yuko Fid Q, Blue na wengine


Ni kutoka kwenye basi lililobeba Wasanii wa bongofleva wakiwa safarini kwenye show za FIESTA 2016, tamasha ambalo linafanyika kwenye mikoa mbalimbali Tanzania sasa hivi.

Kwenye basi la Wasanii utajionea maongezi yao mbalimbali wakizungumzia ishu za kimaisha, kuuliza maswali, wakicheka pamoja na kuongelea mengine mengi kama inavyoonekana kwenye hii video hapa chini.

ULIIKOSA YA CHRISTIAN BELLA ALIPOMTAJA NUH MZIWANDA MBELE YA SHILOLE? BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA

Soma na hizi

Tupia Comments

On AIRSIKILIZA

Usipitwe na hizi

Advertisement