Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Simba wamewatoa Polisi DSM katika Kombe la ASFC kwa goli 2-0

on

January 22 2017 wekundu wa Msimbazi Simba walishuka dimbani kucheza mchezo wao wa kwanza wa mtoano wa kombe la FA dhidi ya Polisi DSM katika uwanja wa Uhuru Dar es Salaam, katika mchezo huo Simba wamefanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 2-0, magoli yakifungwa na Pastory Athanas dakika ya 4 na Mohamed Hussein dakika ya 82.

VIDEO: Yanga vs Azam FC January 7 2017, Full Time 0-4

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement