Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Goli lililoivua Ubingwa URA ya Uganda Mapinduzi Cup 2017

on

Usiku wa January 8 timu ya URA ya Uganda ambao ndio Mabingwa watetezi wa Kombe la Mapinduzi walicheza dhidi ya Taifa Jang’ombe katika mchezo ambao walikuwa wanahitaji ushindi ili kusonga mbele, URA walijikuta wakivuliwa Ubingwa baada ya Mohamed Said kuifungiwa Taifa goli 1-0 dakika ya 64 kwa mkwaju wa penati.

VIDEO: Yanga vs Azam FC January 7 2017, Full Time 0-4

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement