Burudani

List ya filamu na wasanii wanaowania tuzo za Sinema Zetu 2019

on

Waandaaji wa tuzo za Sinema Zetu International Film Festival leo wamefanya mkutano na waandishi wa habari na kutangaza wasanii na filamu zilizofanikiwa kuingia katika hatua ya mwisho wa mchujo wa fainali za tuzo za Sinema Zetu International Film Festival  (SZIFF 2019).

Tuzo hizo ambazo zimelenga kutambua mchango wa wasanii, wazalishaji wanaofanya vizuri katika tasnia ya sanaa hiyo kila mwaka, lengo likiwa ni kuchangia ukuaji wa sanaa hiyo kwa kuhamasisha wasanii hao kufanya kazi iliyo bora kila mwaka, hizi ndio list za wanaowania tuzo hizo.

EXCLUSIVE: BELLA KAFUNGUKA ALIVYOKUWA AKIISHI NA GODZILLA ‘AMEKUFA NA MAUMIVU MAKALI SANA”

Soma na hizi

Tupia Comments