Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Goli la mechi ya Stand United vs Yanga Septemba 25, Full Time 1-0

on

Ligi Kuu soka Tanzania bara iliendelea leo Septemba 25 2016 kwa Mabingwa watetezi wa Ligi hiyo klabu ya  Dar es Salaam Young Africans kushuka katika uwanja wa CCM Kambarage kucheza na wenyeji wao Stand United, katika mchezo huo Stand United walifanikiwa kumfunga Yanga kwa goli 1-0 lililofungwa na Pastory Athanas dakika ya 62.

GOALS: TP Mazembe vs Yanga August 23 2016, Full Time 3-1 

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement