Habari za Mastaa

PICHA 10: Filamu ya kibongo T-Junction ilivyozinduliwa Mlimani City

on

Mastaa mbalimbali wa Filamu usiku wa August 10, 2017 walikutana Mlimani City kwenye uzinduzi wa filamu mpya T-Junction ambayo imeshirikisha mastaa wachache huku idadi kubwa ikiwa ni wasanii chipukizi kwenye tasnia ya Filamu.

Miongoni mwa mastaa waliohudhuria uzinduzi huo ni pamoja na Lulu Michel, Single Mtambalike, Gabo Zegamba na MC Pilipili huku mgeni Rasmi akiwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe aliyeambatana na baadhi ya viongozi wakiwemo wa Bodi ya Filamu Tanzania.

millardayo.com na Ayo TV zinazo hizi picha 10 kutoka kwenye uzinduzi huo…

Mastaa walioshiriki kuigiza Movie ya T-Junction kwenye pozi la pamoja na waandaaji wa movie hiyo

Waigizaji wa movie ya T-Junction

Mastaa wa Tanzania waliotajwa kwenye list ya AFRIMA 2017 

Alichofunguka Baraka the Prince baada ya kudaiwa kushuka kimuziki 

Soma na hizi

Tupia Comments