Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Mix

Viwanda vitano vya Samaki vimepigwa faini ya shilingi milioni 180 Mwanza

on

Leo January 4, 2018 Waziri wa Mifugo na Uvuvi Luhaga Mpina amewaamuru wamiliki wa Viwanda vitano vya kuchakata minofu ya Samaki Jijini Mwanza kulipa faini ya Shilingi milioni 180 ndani ya saa 24.

Waziri Mpina ametoa adhabu hiyo baada ya kubainika kuwa viwanda hivyo vimekuwa vikipokea na kuchakata Samaki wasioruhusiwa kwa mujibu wa Sheria ya Uvuvi.

Viwanda hivyo ni Nile Perch Fisheries, Tanzania Fish Processors Victoria Perch,  Omega Fish na Nature Fisheries. Pia amewasimamisha kazi Wakaguzi watatu kutokana na kushindwa kusimamia vyema majukumu yao.

MWIMBAJI WA WIMBO WA “SASA NI LUNCH TIME” GABRIEL OMOLO AMEFARIKI DUNIA, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA

VIDEO: BARUA ALIYOIPOKEA LEO JPM TOKA KWA RAIS MUSEVENI

Tupia Comments