Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Magoli matatu ya Simba vs Toto Africans October 23 2016, Full Time 3-0

on

Wekundu wa Msimbazi Simba leo October 23 2016 walicheza mchezo wao wa 11 wa Ligi Kuu Tanzania bara dhidi ya Toto Africans ya Mwanza na kufanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 3-0, magoli yakifungwa na Mzamiru Yasin dakika ya 43, 74 na Laudit Mavugo dakika ya 52.

ALL GOALS: Yanga vs Simba October 1 2016, Full Time 1-1

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement