Top Stories

Majibu ya Vyama vya Ushirika, baada wananchi kutaka kuandamana

on

Kupitia mkutano wa hadhara uliofanyika mkoani Kagera na kusababisha Mbunge wa jimbo hilo Innocent Bilakwate kuahidi kufanya maandamano akishirikiana na wananchi mpaka Rais JPM awasaidie kupata ufafanuzi juu ya zao la kahawa, hali hiyo imemfanya Meneja wa Chama Kikuu cha ushirika KDCU LTD {Karagwe District Cooperative Union limited} kutoa ufafanuzi.

Akiongea mbele ya viongozi mbalimbali wa Kiserikali katika kikao kilichofanyiaka wilayani Kyerwa, Meneja wa KDCU LTD Kakulu Burchard amefafanua tatizo lililowakwamisha mpaka kuleta changamoto kubwa kwa wananchi.

Mwigulu amemuona Rais Magufuli akipokea ndege mpya ameandika haya

Soma na hizi

Tupia Comments