Tangaza Hapa Ad

Michezo

VideoFUPI: Ngassa akiwa uwanja wa ndege wa O.R Tambo akijiandaa kurudi Tanzania

on

Usiku wa September 2 2016 jina staa wa soka wa Tanzania Mrisho Khalfan Ngassa liliingia kwenye headlines baada ya taarifa za yeye na klabu yake ya Free State ya Afrika Kusini kuvunja mkataba wa kuendelea kukitumikia kikosi hiko.

Ngassa amevunja mkataba kwa makubaliano na Free State toka August 25 2016 na tayari anajiandaa kurudi Tanzania leo September 3 2016, mchana huu kwenye mitandao ya kijamii imesambaa video ya Ngassa akiwa uwanja wa ndege wa kimataifa wa O.R Tambo Johannesburg akijiandaa kurudi Tanzania.

GOAL AND HIGHLIGHTS: YANGA VS TP MAZEMBE JUNE 28 2016, FULL TIME 0-1

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement