Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Magoli ya Simba vs Taifa Jang’ombe Jan 1 2017, Full Time 2-1

on

Taifa Jang’ombe leo wamekubali kupoteza mchezo dhidi ya Simba kwa goli 2-1, magoli ya Simba yakifungwa na Mzamiru Yassin dakika ya 28 na Juma Luzio dakika ya 42, lakini beki wa Simba Novaty Lufungo akijifunga dakika ya 76 baada ya Taifa Jang’ombekupiga kona iliyosababisha goli hilo.

VIDEO:GOALS & HIGHLIGHTS: Taifa Jang’ombe vs Jang’ombe Boys, Full Time 1-0 

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement