Tangaza Hapa Ad

Michezo

Staa wa Chelsea ambaye anatajwa kuwa Mourinho atamsajili January

on

Ni mwezi mmoja tu umebaki hadi kufikia mwezi January ambapo dirisha dogo la usajili barani Ulaya litafunguliwa rasmi, bado dirisha la usajili halijafunguliwa lakini headlines za mchezaji gani atajiunga na  timu gani mwezi January zina zidi kuchukua nafasi.

Kocha wa Man United Jose Mourinho ameanza kuhusishwa kuwa katika mpango wa kumsajili Willian wa Chelsea mwezi January, stori kutoka dailystar na 101greatgoals.com imeeleza kuwa Mourinho anataka kumsajili Willian ambaye imeanza kuaminika kuwa anakosa nafasi chini ya Antonio Conte.

gettyimages-456341560

Willian akiwa na kocha Jose Mourinho wakati wakiwa pamoja Chelsea

Kama utakuwa unakumbuka vizuri Willian alijiunga na Chelsea August 2013 akitokea klabu ya Anzhi Makhachkala ya Urusi aliyodumu nayo kwa kipindi kifupi tu.

ALL GOALS: Simba vs Toto Africans October 23 2016, Full Time 3-0

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement