Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Goli za Mavugo zinazoikutanisha Simba vs Yanga nusu fainali Mapinduzi Cup 2017

on

January 8 2017 Simba walicheza mchezo wao wa mwisho wa Kombe la Mapinduzi 2017 hatua ya makundi dhidi ya Jang’ombe Boys katika uwanja wa Amaan Zanzibar, huo ulikuwa ni mchezo muhimu kwa Simba ambaye alifanikiwa kupata ushindi wa goli 2-0, magoli yakifungwa na Laudit Mavugo dakika ya 12 na 54.

VIDEO: Yanga vs Azam FC January 7 2017, Full Time 0-4

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement