Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Maneno ya Simon Msuva baada ya kutangazwa mchezaji bora wa mechi vs Zimamoto

on

Winga wa Yanga Simon Msuva Jumatano ya January 4 2017 aliichezea Yanga katika mchezo wa pili wa Mapinduzi Cup 2017 dhidi ya Zimamoto na kufanikiwa kuisaidia timu hiyo kupata ushindi wa goli 2-0, magoli ambayo yote aliyafunga yeye mwenyewe dakika ya 11 na 21.

Magoli hayo yalimfanya Msuva kuwa kinara wa magoli Mapinduzi Cup 2017 kwa kufikisha jumla ya magoli manne katika michuano hiyo, huo ulikuwa ni mchezo ambao Simon Msuva pia alitangazwa kuwa mchezaji bora wa mechi na baada ya hapo alikutana na vipaza sauti vya waandishi wa habari.

ALL GOALS: JKT Ruvu vs Yanga December 17 2016, Full Time 0-3

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement