Tangaza Hapa Ad

Michezo

VIDEO: Goli la Jordan Henderson lililoshinda tuzo ya goli bora la mwezi EPL

on

Good news kwa kiungo wa kimataifa wa England ambaye anaichezea Liverpool Jordan Henderson zinazidi kuongezeka, ikiwa ni siku chache zimepita toka avae kitambaa cha unahodha wa timu ya taifa ya England kwa mara ya kwanza katika mchezo kati ya England dhidi ya Slovenia, October 14 2016 amepokea good news nyingine.

Jordan Henderson amepokea tuzo ya goli bora la mwezi EPL alilofunga katika mchezo dhidi ya Chelsea, Henderson ameshinda tuzo hiyo wakati kocha wake Jurgen Klopp akipewa tuzo ya kocha bora wa mwezi na mshambuliaji wa Korea Kusini anayeichezea Tottenham Hotspurs Son Heung-min akipewa tuzo ya mchezaji bora wa mwezi.

ALL GOALS: Yanga vs Simba October 1 2016, Full Time 1-1

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement