Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Simba ilivyoimaliza Yanga kwa penati 4-2 January 10 2017

on

Mchezo wa Yanga na Simba kwa dakika 90 ulimalizika pasipo kufungana, hivyo ililazimika kupigwa mikwaju ya penati ili kupata mshindi atakayecheza fainali na Azam FC Ijumaa ya January 13 2017, Simba wamekuwa vinara kwa Yanga kwa kuifunga kwa penati 4-2.

VIDEO: Yanga vs Azam FC January 7 2017, Full Time 0-4

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement