Tangaza Hapa Ad

Michezo

LIST: Washindi wa tuzo za FIFA 2016, Cristiano Ronaldo ameshinda dhidi ya Messi na Griezmann

on

Usiku wa January 9 2017 shirikisho la soka ulimwenguni FIFA lilifanya hafla ya utoaji wa tuzo ya mchezaji bora wa dunia wa FIFA mjini Zurich Uswiss, tuzo hizo ambazo mwaka huu zimekuwa za tofauti kutokana na FIFA kufanya tuzo zao baada ya kutengana na French Football waandaaji wa Ballon d’Or.

Tuzo hizo zimefanyika lakini wengi walikuwa wakisubiri tuzo ya mchezaji bora wa dunia itakwenda kwa nani kati ya Lionel Messi, Antoine Griezmann na Cristiano Ronaldo, ila mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa FIFA ametangazwa kuwa Cristiano Ronaldo.

Full List ya washindi wa tuzo za FIFA 2016

VIDEO: Yanga vs Azam FC January 7 2017, Full Time 0-4

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement