Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO:Alichokizungumza Ajib wa Simba baada ya kumaliza majaribio Haras El Hodoud

on

Moja kati ya stori ambazo zimekuwa zikizungumzwa sana kwa siku za hivi karibuni ni kuhusiana na msahmbuliajia wa timu ya taifa ya Tanzania na Club ya Simba Ibrahim Ajib picha yake kupostiwa na timu ya Haras El Hodoud ya Misri ikieleza kuwa mwanamichezo wao mpya.

Post hiyo ilisambaa sana mitandaoni ambapo Ajib alikuwa katika timu hiyo kwa majaribio ya siku 10, usiku wa January 3 Ajib alionekana uwanja wa Amaan Zanzibar akiangalia mchezo kati ya KVZ dhidi ya Simba akiwa kaja kuungana na wenzake kwa ajili ya michuano hiyo.

AyoTV ilimpata Ibrahim Ajib baada ya mchezo huo kumalizika na kueleza kuwa amemaliza majaribio yake ya siku 10 akiwa na timu hiyo na kilz kitu kipo sawa majaribio yameenda vizuri na anachosubiria ni Haras El Hodoud kuja kuzungumza na Simba.

VIDEO:ALL GOALS: Simba vs Taifa Jang’ombe Jan 1 2017, Full Time 2-1 

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement