Tangaza Hapa Ad

Michezo

PICHA 3: Mapokezi ya Oscar katika timu ya Shanghai SIPG ya China

on

Jumatatu ya January 2 2017 aliyekuwa kiungo wa Chelsea ya England raia wa Brazil Oscar aliwasili katika timu ya Shanghai SIPG ya China iliyomsajili kwa dau la pound milioni 52.

3bc5b71600000578-4081280-image-a-2_1483347828987

Oscar ambaye atakuwa akilipwa mshahara wa pound 400,000 kwa wiki aliwasilia ShanghaiPudong Airport na kupokelewa na mashabiki wa timu hiyo sambamba na vyombo vya habari.

3bc5e50400000578-4081280-image-a-4_1483347851351

VIDEO:GOALS & HIGHLIGHTS: Taifa Jang’ombe vs Jang’ombe Boys, Full Time 1-0 

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement