Tangaza Hapa Ad

fB insta twitter

Utani wa Joti, Manara, Prof Jay, Mgosi na Ommy Dimpoz baada ya Yanga kufungwa

on

Usiku wa January 7 2017 katika soka la Tanzania stori kubwa katika mitandao ya kijamii kwa wapenzi wa soka la bongo ilikuwa ni Azam FC kumfunga Yanga goli 4-0, hicho kikiwa ni kipigo kikubwa kwa Yanga kufungwa toka afungwe 5-0 na Simba May 6 2012 uwanja wa Taifa Dar es Salaam.

Baada na wakati wa mchezo huo moja kati ya stori zilizokuwa zina-trend katika social network ni kuhusiana na Yanga kufungwa idadi hiyo ya magoli, nimekusogezea post za utani wa Haji Manara, Musa Mgosi, Ommy Dimpoz, Joti na Profesa Jay baada ya Yanga kufungwa.

screen-shot-2017-01-08-at-3-03-02-am

screen-shot-2017-01-08-at-3-03-31-am

screen-shot-2017-01-08-at-3-04-01-am

screen-shot-2017-01-08-at-3-04-32-am

screen-shot-2017-01-08-at-3-06-54-am

screen-shot-2017-01-08-at-3-14-27-am

VIDEO: Yanga vs Azam FC January 7 2017, Full Time 0-4

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement