Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Taifa Jang’ombe imeipa kipigo cha nne KVZ Janaury 6 2017

on

Michuano ya Mapinduzi Cup 2017 iliendelea tena Ijumaa ya January 6 2017 kwa mchezo mmoja wa Kundi A kuchezwa katika uwanja wa Amaan, January 6 ulichezwa mchezo kati ya Taifa Jang’ombe dhidi ya vibonde wa Kundi hilo KVZ, KVZ wamekubali kipigo kwa mara nyingine tena safari hii wamefungwa goli 3-1.

ALL GOALS: JKT Ruvu vs Yanga December 17 2016, Full Time 0-3

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement