Biko


Tangaza Hapa Ad

Michezo

Dirisha la usajili la January limefungwa rasmi, baadhi ya waliosajiliwa kabla ya kufungwa

on

Saa 2:00 AM February 1 2017 ndio muda ambao dirisha la usajili la mwezi January barani Ulaya lilifungwa rasmi, kila timu zilikuwa zikikimbizana na muda kuhakikisha zinakamilisha usajili wa mchezaji waneyemuhitaji kabla ya kufungwa.

Tumeona timu ya Bayer Leverkusen ikimsajili mjamaica Leon Bailey aliyekuwa anacheza na mtanzania Mbwana Samatta katika timu ya KRC Genk ya Ubelgiji, lakini klabu ya Istanbul Basaksehir ya Uturuki imemsajili pia Emmanuel Adebayor siku ya mwisho ya dirisha kufungwa January 31.

Hawa ni baadhi ya wachezaji ambao usajili wao umekamilika dakika za mwisho kabla ya dirisha kufungwa.

 

VIDEO: Yanga vs Azam FC January 7 2017, Full Time 0-4

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement