Tangaza Hapa Ad

Michezo

PICHA 3: Kipa wa Ghana amewasili Tanzania kujiunga na Simba SC

on

Golikipa wa timu ya taifa ya Ghana anayeichezea klabu ya Medeama ya kwao Ghana Daniel Nana Agyei amewasili Dar es Salaam Tanzania kwa ajili ya kukamilisha mpango wake wa kujiunga na klabu ya wekundu wa Msimbazi Simba.

screen-shot-2016-11-30-at-3-14-40-pm

Daniel anajiunga na Simba akiwa amewahi kuvitumikia vilabu vya Free State Stars ya Afrika Kusini, Liberty Professionals na Medeama SC zote za Ghana, Agyei mwenye umri wa miaka 27 amewahi kuichezea timu ya taifa ya Ghana mechi 5.

screen-shot-2016-11-30-at-3-14-23-pm

ALL GOALS: Simba vs Toto Africans October 23 2016, Full Time 3-0

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement