Tangaza Hapa Ad

Michezo

Timu 16 zilizotolewa Club Bingwa na kuingia Kombe la shirikisho Afrika ikiwemo Yanga

on

Baada ya kutolewa katika mashindano ya Club Bingwa Afrika kwa timu ya Dar es Salaam Young Africans na timu ya Zanaco ya Zambia kwa goli la ugenini kutokana na mchezo wa kwanza Dar es Salaam kumalizika kwa sare ya 1-1 na marudiano 0-0.

Yanga ilitolewa rasmi katika michuano ya Club Bingwa Afrika na sasa watanaungana na timu nyingine 15 zilizotolewa katika Club Bingwa na zitashiriki Kombe la shirikisho barani Afrika, ambapo itacheza mchezo mmoja wa mchujo ndio iingie hatua ya Makundi baada ya droo kupangwa.

List ya timu 16 zilizotolewa Club Bingwa Afrika

1. Yanga-Tanzania
2. KCCA-Uganda
3. CF Mounana-Gabon
4. CNaPS SPORT-Madagascar
5. Rail Club Kadiogo-Burkinafaso
6. Rivers united-Nigeria
7. Tp Mazembe-DRC
8. Bidvest Witts-SA
9. FUS Rabbat-Morroco
10. Leopard-Congo
11. ASPL-Mauritious
12. Enugu rangers-Nigeria
13. Gambia port-Gambia
14. Tanda-Ivory Coast
15. Horoya AC-Guinea
16. BYC-Liberia

ALL GOALS: Simba vs Yanga February 25 2017, Full Time 2-1

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement