Tangaza Hapa Ad

Michezo

Ushindi wa Jang’ombe Boys unaoweka rekodi Mapinduzi Cup 2017

on

Michuano ya Kombe la Mapinduzi imeendelea tena leo kwa mchezo wa Kundi A kuchezwa saa 10:15 jioni, kabla ya saa 20:15 kuchezwa mchezo wa pili wa Kombe la Mapinduzi kati ya URA dhidi ya Simba, mchezo wa kwanza wa Kundi A leo ulikuwa ni kati ya Jang’ombe Boys dhidi ya KVZ.

Mchezo wa Jang’ombe Boys dhidi ya KVZ leo ulikuwa ni mchezo uliyoweka historia mpya katika michuano ya Mapinduzi Cup 2017, mchezaji wa Jang’ombe Boys Abdul Samadi Kassim Ally kufunga hat-trick ya kwanza katika ushindi 3-1 wa Jang’ombe Boys.

screen-shot-2017-01-05-at-7-04-45-pm

Kwa sasa msimamo wa Kundi A wenye timu 5 unaongozwa na Jang’ombe Boys wenye point sita sawa na Simba lakini wanaongoza kwa tofauti ya magoli ya kufunga na kufungwa, huku KVZ wakishika mkia kwa kuwa hawana point hata moja.

ALL GOALS: JKT Ruvu vs Yanga December 17 2016, Full Time 0-3

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement