Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Magoli ya Yanga vs Ndanda FC leo Dec 28 2016, Full Time 4-0

on

Ligi Kuu soka Tanzania bara imeendelea tena leo December 28 kwa Dar es Salaam Young Africans kucheza dhidi ya Ndanda FC, Yanga imefanikikiwa kuifunga Ndanda FC goli 4-0, magoli yakifungwa na Donald Ngoma dakika ya 4 na 21, Amissi Tambwe dakika ya 25 na Vincent Bossou.

ALL GOALS: JKT Ruvu vs Yanga December 17 2016, Full Time 0-3

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement