Tangaza Hapa Ad

VIDEO: Goli la Laudit Mavugo lililoipeleka Simba nusu fainali ya FA Cup


Leo March 19 2017 katika uwanja wa Shekh Amri Abeid Arusha Madini FC walikuwa wenyeji wa Simba SC katika mchezo wa robo fainali ya Kombe la FA (Azam Sports Federation Cup), katika mchezo huo Simba licha ya kuwa ugenini walifanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali kwa ushindi wa goli 1-0 lililofungwa na Laudit Mavugo dakika ya 55.

ALL GOALS: Simba vs Yanga February 25 2017, Full Time 2-1

Soma na hizi

Tupia Comments

On AIRSIKILIZA

Usipitwe na hizi

Advertisement