Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Alichokizungumza kocha wa Simba baada ya ushindi wa goli 2-1 dhidi ya Taifa Jang’ombe

on

January 1 2016 timu ya Simba ilicheza mchezo wake wa kwanza wa Kombe la Mapinduzi 2017 dhidi ya timu ya Taifa Jang’ombe katika uwanja wa Amaan Zanzibar, katika mchezo huo Simba walifanikiwa kupata ushindi wa goli 2-1. Baada ya mchezo kocha msaidizi wa Simba Jackson Mayanja aliongea na waandishi wa habari.

ALL GOALS: JKT Ruvu vs Yanga December 17 2016, Full Time 0-3

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement