Tangaza Hapa Ad

Michezo

Dau wanalotaka Man United kumlipa Bastian Schweinsteiger ili waachane nae

on

Mapema mwezi huu kiungo wa kimataifa wa Ujerumani anayeichezea Man United  Bastian Schweinsteiger alirudi katika kikosi cha Man United baada ya kufanya mazoezi binafsi na timu B kwa zaidi ya mwezi, licha ya Bastian kurudi kufanya mazoezi na kikosi cha kwanza cha Man United .

Kurejea kwa Bastian Schweinsteiger Man United bado hakumpi nafasi wala matumaini ya kupata nafasi kubwa ya kucheza chini ya kocha wa kireno Jose Mourinho.

Kutokana na Bastian kuwa na mkataba na Man United hadi 2018, mkataba ambao ungemuwezesha kuvuna euro milioni 18 katika kipindi hicho, Man United wanapanga kumlipa fidia ya euro milioni 11 ilia waachane na Bastian anayehusishwa kuwa katika rada za vilabu vya China na vya Ligi Kuu Marekani MLS.

ALL GOALS: Simba vs Toto Africans October 23 2016, Full Time 3-0

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement