Tangaza Hapa Ad

Michezo

Wanasema hii ni Group la whatsapp la Barca baada ya mkataba wa Coutinho

on

Moja kati ya habari kubwa katika soka leo ni maamuzi ya Liverpool kuamua kumuongezea mkataba kiungo wao Mbrazil Philippe Coutinho ambaye wamemuongeza mkataba wa miaka mitano wa kuendelea kuitumikia timu hiyo.

Tovuti mbalimbali zimeripoti kunasa mazungumzo ya group la whatsapp la wachezaji wa FC Barcelona baada ya Coutinho kuongeza mkataba wa Liverpool ambapo inaonekana kama FC Barcelona waliwahi kuhusishwa na kumuhitaji Coutinho. HII NI KWA MUJIBU WA 90min.com

Hata hivyo bado nafatilia kujua kama ni kweli kuvuja kwa mazungumzo hayo na ukweli wenyewe wa kilichosemwa na Wachezaji, endelea kukaa karibu na millardayo.com

VIDEO: Mishahara ya kwanza ya Mbwana Samatta, Simon Msuva, Himid Mao, Elias Maguli na Bossou ifahamu kwa kubonyeza play kwenye hii video hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement