Biko Ad 2
MPTV Ad
TIC Ad
Tangaza Hapa Ad

Michezo

VIDEO: Magoli ya Chelsea dhidi ya Southampton yaliowapa point tatu

on

Usiku wa October 30 2016 klabu ya Chelsea ilisafiri kutoka Stamford Bridge hadi St Mary’s kucheza dhidi ya wenyeji wao Southampton katika mchezo wao wa 10 wa Ligi Kuu England msimu wa 2016/2017, Chelsea wakiwa ugenini walifanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 2-0, magoli yakifungwa na Eden Hazard dakika ya 6 na Diego Costa dakika ya 55.

Katika ushindi huo wa goli 2-0 Chelsea wanakuwa wamejikusanyia point tatu na kufanya wawe nafasi ya nne wakiwa na point 22 katika msimamo wa Ligi Kuu ya England, hiyo ikiwa ni tofauti ya point moja na timu tatu za juu yake ambazo zote zina point 23.

ALL GOALS: Simba vs Toto Africans October 23 2016, Full Time 3-0

Soma na hizi

Tupia Comments