Tangaza Hapa Ad

Michezo

VIDEO: Sahau goli la sekunde ya 7 la Benteke, cheki TOP 20 ya magoli ya mapema

on

Usiku wa October 10 2016 mshambuliaji wa kimataifa wa Ubelgiji anayeichezea Crystal Palace Christian Benteke aliingia kwenye rekodi ya kihistoria baada ya kufunga goli sekunde ya 7 katika mchezo wa kuwania kufuzu kucheza Kombe la Dunia 2018 Urusi kati ya Ubelgiji dhidi ya Gibraltar uliomalizika kwa Ubelgiji kuibuka na ushindi goli 6-0.

Hili goli la Benteke alilolifunga dhidi Gibraltar

TOP 20 magoli ya haraka kuwahi kufungwa katika soka

ALL GOALS: Yanga vs Simba October 1 2016, Full Time 1-1

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement