Tangaza Hapa Ad

Michezo

Mchezaji wa Leicester kapata ajali na Lamborghini yake ya zaidi ya Tsh milioni 500

on

Kiungo wa Leicester City ya England Jeffrey Schlupp jina lake limeingia kwenye headlines baada ya taarifa za kupata ajali akiwa katika gari lake kuanza kuenea katika mitandao mbalimbali England.

Jeffrey Schlupp amepata ajali kwa kugonga mti akiwa ndani ya gari yake aina ya Lamborghini ambayo ina thamani ya pound 190,000 ambazo ni zaidi ya Tsh milioni 500 za kitanzania, beki huyo amepata ajali lakini yupo salama.

leicester-city-foxes-leicester-foxes-nigel-pearson-jeffrey-schlupp-ghana-fa-553597

Jeffrey Schlupp

Kiungo huyo wa Ghana mwenye umri wa miaka 23 alipata ajali akiwa na gari lake aina ya Lamborghini, baada ya kuacha njia na kugonga mti wakati anaelekea mazoezini, Jeffrey Schlupp analipwa mshahara wa pound 30,000 kwa wiki.

ALL GOALS: Simba vs Toto Africans October 23 2016, Full Time 3-0

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement