Biko


Tangaza Hapa Ad

AyoTV

AUDIO:Maneno ya kipa wa timu ya taifa ya Ghana baada ya kutua DSM kujiunga na Simba

on

Golikipa wa timu ya taifa ya Ghana anayeichezea klabu ya Medeama ya kwao Ghana Daniel Nana Agyei amewasili Dar es Salaam leo November 30 kwa ajili ya kukamilisha mpango wake wa kujiunga na klabu ya wekundu wa Msimbazi Simba.

“Ni kweli nimeamua kuja Simba na nina matarajio makubwa najua Simba ni klabu kubwa walipo niomba kujiunga nao niliongea na meneja wangu tukaangalio ofa yao mezani nikaamua kujiunga nao”
“Kuhusu Agban najua ni golikipa mzuri na mimi ni golikipa mzuri na nipo tayari kushindana na najua nitafanikisha ninachotaka kufanikisha na Simba siogopi chochote kuja kwangu hapa ni heshima kubwa kwangu”

ALL GOALS: Simba vs Toto Africans October 23 2016, Full Time 3-0

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement