Tangaza Hapa Ad

Michezo

Picha 3: Ukweli wa taarifa za Busungu wa Yanga kupata ajali

on

Jioni ya Jumamosi ya November 19 2016 taarifa za winga mshambuliaji wa Yanga Malimi Busungu kupata ajali zilianza kuenea katika mitandao ya kijamii, huku habari zikiwa hazijathiibitika kila mmoja alikuwa akindika taarifa tofauti kuhusu taarifa hizo.

img-20161120-wa0019

Ukweli wa taarifa za Malimi Busungu wa Yanga kupata ajali ni za kweli, lakini mshambuliaji huyo yupo salama na gari pekee analotumia ndio limeharibika.

img-20161120-wa0018

Kama utakuwa unakumbuka vizuri Malimi Busungu kwa sasa yupo nje ya kikosi cha Yanga, kwa taarifa zinazodaiwa kuwa mchezaji huyo haridhiki na nafasi anayopewa ya kucheza Yanga, lakini taarifa rasmi kutoka kwa uongozi wa Yanga zinaeleza kuwa Busungu yupo nje ya kikosi kwa matatizo ya kifamilia.

img-20161120-wa0016

ALL GOALS: Simba vs Toto Africans October 23 2016, Full Time 3-0

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement