TBT

TBT: Kutana na picha 8 za zamani za Kipa Juma Kaseja… kuanzia enzi hizo

on

Kila wiki millardayo.com inakusogezea picha za zamani za mastaa mbalimbali ambapo wiki hii ni zamu ya  Kipa wa longtime Tanzania anaeichezea Kagera Sugar ya Bukoba Juma Kaseja ambaye February 22 2017 alitangazwa mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa mwezi January wa Ligi Kuu Vodacom.

Kama haufahamu, Juma Kaseja ambaye amewahi kuzichezea Simba na Yanga, amesoma shule ya Sekondari Makongo Dar es salaam iliyotoa vipaji vingi katika soka, Kaseja pia amewahi kuichezea Mbeya City ya Mbeya kabla ya kujiunga na Kagera Sugar lakini alitokea Moro United na kujiunga na Simba 2003.

Juma Kaseja aliyevaa t-shirt nyeusi akiwa na Musa Mgosi pembeni yake aliyevaa t-shirt nyeupe.

Kutoka kushoto ni golikipa Juma Kaseja

Kutoka kushoto ni Razak Khalfan, Juma Kaseja, Musa Mgosi wanne kutokea kushoto akifuatiwa na Juma Jabu

Juma Kaseja kulia

Kutoka kushoto ni Ulimboka Mwakingwe na Juma Kaseja

Juma Kaseja aliyevaa nyeusi

Kaseja mwaka 2003

Juma Kaseja wa sasa, umri wake ni miaka 31 na alizaliwa April 20 1985

FULL HD: All goals N’gaya vs Yanga February 12 2017, Full Time 1-5

TOP 5: Mishahara ya kwanza ya Wachezaji, Samatta, Msuva, Maguli, Himid Mao… tazama kwenye hii video hapa chini

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments