Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Wema Sepetu na Idris Sultan wamepostiana tena leo

on

Headlines kuelekea tuzo za Abryanz Style and Fashion Awards ASFA2016 zimezidi kushika kasi, hizi ni tuzo za fashion ambazo zitafanyika Uganda, muigizaji Wema Sepetu na Idris Sultan ambao kwa sasa wamekuwa wakidaiwa kuwa wameachana ni miongoni kati ya watu walioteuliwa kuwania tuzo hizo.

Kuelekea tuzo hizo Wema Sepetu na Idris Sultan ambao walikuwa wapenzi na kudaiwa kuachana wamepostiana tena leo kutumia account zao za instagram, kila mmoja kapost na kueleza kuwa kampigia kura mwenzake, inaaminika kuwa Idris na Wema hawapo tena katika mahusiano.

yu

Kinachovutia zaidi katika post hizo ni post aliyoamua kuipost Idris Sultan na kueleza kuwa atalala chumba kimoja na Wema watakapokwenda katika tuzo hizo Uganda ili kukwepa gharama ya kulipa vyumba viwili halafu hela ya chumba kimoja watagawana.

“because it is very clear#IVoteWemaSepetu #Asfa2016Nominee#Asfa2016 . Kumbuka tunaokoa hela kwahiyo Uganda chumba kimoja hela ya kingine tunagawana, utalala bafuni you voted Trump ?.
By the way guys Forget the rest of the photo, this is the most important part ???. Nighas you know waraminnnnnn “. >>> Idriss Sultan

yuoo

VIDEO: IDRIS SULTAN ALIVYOWATANGAZA WASHINDI WA TUZO ZA MTV MAMA 2016

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement