Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Goli la mechi ya Simba vs Mbao FC October 20, Full Time 1-0

on

October 20 2016 kwa wekundu wa Msimbazi Simba waliwaalika Mbao FC ya Mwanza kucheza mchezo wao wa 10 Ligi Kuu Tanzania bara uwanja wa Uhuru Dar es Salaam, katika mchezo huo Simba imefanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 1-0 lililofungwa na Mzamiru Yassin dakika ya 86.

Video kwa hisani ya Azam TV

ALL GOALS: Yanga vs Simba October 1 2016, Full Time 1-1

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement