Tangaza Hapa Ad

Michezo

Mke wa Wayne Rooney hajafurahishwa na alichofanyiwa mme wake

on

Jina la nahodha wa timu ya taifa ya England na klabu ya Man United Wayne Rooney linazidi kukaa kwenye headines kila kukicha, Rooney amerudi kwenye headlines kwa mara nyingine tena baada ya mke wake Coleen Rooney kuoneshwa hisia zake za kusikitishwa kuzomewa mmewe katika mchezo dhidi ya Malta.

Rooney kwa sasa anaonekana kukutana na wakati mgumu katika soka lake baada ya kuonekana na kuanza kukosa nafasi ya kuanza kikosi cha kwanza chini ya kocha Jose Mourinho kwa mechi 3 zilizopita, kitendo cha kuzomewa kwa nahodha siku ya Jumamosi katika mchezo dhidi Malta Wembley hakikumfurahisha mkewe Coleen Rooney.

dfghjkl

“Mechi kama ya kesho na una mtoto wa kiume ana miaka sita halafu awepo uwanjani anaangalia baba yake akizomewa, hilo sio sawa kiukweli” tweet hiyo imekuja leo ikiwa yameanza maneno ya kuwa Rooney atakosekana katika mchezo wa kesho dhidi ya Slovenia.

ALL GOALS: Yanga vs Simba October 1 2016, Full Time 1-1

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement