Top Stories

BREAKING: Watu 17 wafariki Costa ikigongana na lori Songwe (+video)

on

Basi aina Costa linalofanya safari ya Mbeya kwenda Tunduma limegongana na lori la mizigo lililokuwa linatoka Tunduma kuelekea Mbeya katika eneo la Nanyala Mkoa wa Songwe, mpaka sasa wakati zoezi la uokoaji likiendelea miili kumi na saba imetolewa katika basi huku majeruhi mpaka sasa wakiwa watatu na wamekimbizwa katika hospital ya Ifisi. Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brigedia Jenerali Nicodemas Mwangela amethibitisha

Namba a gari aina ya lori ni T 825 CNG na Costa namba yake usajili ni T269 CJC.

WALIONUSURIKA WASIMULIA AJALI YA VIFO 17, GARI ILIFELI BREKI

Soma na hizi

Tupia Comments