Tangaza Hapa Ad

Videos

VideoMPYA: Mabibi na mabwana Vanessa Mdee na Jux wanatualika kuitazama ‘Juu’

on

Tumeisikiliza audio ya single ya juu kwa zaidi ya wiki 8 bila video yake lakini leo December 12, 2016  Waimbaji wa bongofleva Vanessa Mdee na Jux wametupatia nafasi ya kuitazama video mpya ya Juu , audio imefanywa Producer Lufa  Switcher Records na video imefanywa na Director Campos wa Afrika Kusini.

STAR LOOK-ALIKE: Tazama Watanzania wanaofanana na Jay Z, Rais Magufuli, Jux na wengine kwenye hii video hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement